nataka kujua hili wa jf mnisaidie

nataka kujua hili wa jf mnisaidie

papachu

Member
Joined
Apr 16, 2011
Posts
29
Reaction score
1
wanajamii natatizwa na haya maneno hivi unasema company,ltd,enterprises kunatofauti gani,kwa mfano ukisajili biashara kwa jina mapendo company ltd,mapendo company au mapendo enterprises kunatofauti gani katika hayo maneno,naomba maelekezo zaidi
 
Back
Top Bottom