P papachu Member Joined Apr 16, 2011 Posts 29 Reaction score 1 Jul 10, 2011 #1 wanajamii natatizwa na haya maneno hivi unasema company,ltd,enterprises kunatofauti gani,kwa mfano ukisajili biashara kwa jina mapendo company ltd,mapendo company au mapendo enterprises kunatofauti gani katika hayo maneno,naomba maelekezo zaidi
wanajamii natatizwa na haya maneno hivi unasema company,ltd,enterprises kunatofauti gani,kwa mfano ukisajili biashara kwa jina mapendo company ltd,mapendo company au mapendo enterprises kunatofauti gani katika hayo maneno,naomba maelekezo zaidi