Nguvu moja
JF-Expert Member
- Oct 20, 2017
- 3,371
- 2,713
Upate kitu kama hiki alafu awe na hilo baka jeusi nasikia watamu sana!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Hao? Aaah mbona inajulikana tangu zamani isipokua sasa hivi kuna vitu vichache vimejitokeza mfano kuna huyu katibu wa simba kupinga kupanda bei ya sukari na wenzake wanamuangalia tu hawataki wampeleke mahakamani ili mrema aamue kama ni sawa KY kupotea mitaani ama la.
Nasikia wenye baka jeusi kwenye goti watamu sana mkuu.kweli wanaume hatueleweki mara chura mara mwenye matege leo tena mwenye mabaka duu