Nataka kujua jinsi kuandika barua za kazi serikalini

Sidhan kama utapata hyo kazi.
 
Waswahili wana msemo usemao "mficha.....hazai" kama uko serious nichek 0655233578 nna sample ya barua zaid ya 50 za maombi mbalimbali.

Uandish wa barua siyo suala dogo kama wengne wanavyofkria. Wakat nikiwa chuo nijikuta nina (incomrete) kama tatu, nlpofuatilia mkuu wa idara aliniambi niandike barua ya kudai mtokeo yangu "Aris" ipitie Dean of college-> Dean of students->Head of department.

Baada ya kuiandka baadaye nilikuta maneno niliyokuwa nmeyaandka yanapatkana takribani barua kama 30.

Yaan nikahs mm ndye nlye copy! Frankly its a big issue if no problem! He who knows this idea is safe, otherwise two things are involved.
 
Usisahau ku-attach na kivuli cha efu 10 maana hawa jamaa kwa rushwa!
 
Kama ni barua ktk sekta ya Afya na haupo kazini utaiandika moja kwa moja kwa Katibu mkuu wzr ya afya, SLP.....DAR ES SALAM. mara tu utakapoona tangazo la kazi Wizara ya Afya.

Kumbuka barua yako inatakiwa kuwa fupi sana inayotoa ufupisho(summary) sifa ya elimu yako. Maelezo wanayozngatia ni yale ya CV ZAKO, na katka cv zako utaandika yafuatayo( jina lako kamili yaani, surname, middle na other name) utaandka umri wako, hali ya ndoa (lakn ni optional), sehemu ulipozaliwa, (kabila na dini ni Optional) na sehemu ya pili ya cv zako utaandka Uzoefu wako.

Hapa utaandika kwa mfumo wa (mwaka- Taasisi- aina ya cheti ulichopewa au miaka ya uzoefu uliyopata) kumbuka hata kama ulifanya tempo pia ni CV. Na unapanga cv kwa kufuata mtiririko wa mwaka. Katka barua yako weka viambatanish vifuatavyo; barua ya kuomba, cv's zako, copy ya cheti cha kuzaliwa, cheti cha taaluma husika unayoomba na vyeti vingine kama O-level, A-level, Dploma. Na vya sifa zngine linganishi ulizo onesha ktk CV zako. Remember Mr.Mkoba do the same thng in English applc letter, try to avoid unnecessary info. The heading should be.

APPLICATION FOR MEDICAL LABORATORY. Then, I'd advice You to use "the subject above is reference to my applcn or The subject above is concerned rather than using Refer to above subject. Many bosses do not like to be told to refer as if they are the lower classes( they are order giver) maind its just a language of job seeker that it must be polite and one which convices.

Let say if you are at work and u just want to write an applcn letter. u've to write it using (u.f.s= under further service) that is to say, it must be seen or signed by several people. Eg. At work (DERPUTY MINISTER OF....-> DED->DEO->WEO->HEAD OF DEPARTMENT ).

The format of such a letter is as what u've given above by the forum Comredez. Huku mtandao unasumbua so nimeamua kukupa tu meelezo kidogo. But nikifanikiwa ntakutumia friend.
 
Mtu anapoomba kujua jambo fulan haimaanishi kwamba wahitimu wengi wa chuo hawana ueleo. Kimsingi Elimu ni pana sana na huwa inazidi kupanuka kwa kadiri mtu anavyozd kupata uzoefu kazn au katka kaz iwe bnafs au ya kuajiliwa.

Labda chek hii mkuu kuna hawa waalimu wakujitole aka Wamarekan. Aliandika barua ya kuomba ruhusa. Du! Haha kweli nilchoka, sio lugha wala fomat hajui totally, yaan ukimugusa kwenye kuongea na kufundsha biology ni mkali ila hapo "letter writing" so mtu kujua au kutokujua NAMNA ya kuomba kaz kwa barua siyo issue inayodhihirisha uwezo wake ktk taaluma yake. Chek Wachina, Wajerumani ktk Kiingereza wako shaloo, lakn wape kaz utabro na hata kaz kwao unapata baada ya interview practically.

Tujifunze kukumbushana na siyo kukosoana, tukumbuke mtu elimu n bahari ambayo hata baharia huwa anazidiwa na kuomba msaada na hata hivyo komandoo huwa hashnd mwenyewe ila kuna mazngira ya kujficha humsaidia kushnda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…