Erick B
Senior Member
- May 25, 2017
- 107
- 81
Naombeni kujuzwa namna ya kutengeneza ladha tofauti tofauti za bisi/pop corn vitu ambavyo wanachanganya.. mpaka sasa nimejua kuna ladha ya chokoleti, sukari tangawizi lakini sijajua vitu wanachanganya..
Nimeamua kujiajiri naombeni saaana msaada.. nipate ladha ya kipekee nzuri
kuna nliowafuata naona ubora wao bado wenye ubora mzuri wananiambia niwalipe fedha nyingi ambazo kwa sasa bado sina. Ntawashukuru sana nkifanikiwa.... [HASHTAG]#kwa[/HASHTAG] watakao kua karibu ntawapeni ofa mkipita
Ntamlipa atakaye nielekeza vizuri. michango midogo yenye tija.. Vocha