Habari za mchana Mimi ni mkulima Wa mahindi . katika kuhangaika nimeelezwa kuwa kunasumu ya kupalilia mahindi tena yenyewe hayaathiriki . sasa najua humu kunawazoefu wa kilimo nahitaji kujua kuwa ni kweli hiyo sumu.
Inafanya kazi vizuri ? Na ni kweli haina athari kwa mimeaa ? Maana nimeingiwa na hof huenda ikawa namadhara kwani huku napolimia sijaona mtu yeyote akiitumia. Naomba msaada kwa mwenye ufaham wa hilo . Natanguliza shukran.