Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanadai kuwa ni Kali sana vipi haiwez kuunguza tikitiHiyo ni aina mojawapo ya samdi. Uwekaji wake si sawa na mbolea ya viwandani kwa upande wa vipimo. Kama hujapabda zao lako chimba mashimo kisha weka samadi yako kiasi cha gao mbili yaani mikono miwili iliyojaa kwa kila shimo na changanya samadi na udongo mwagilia maji ndipo upande mbegu ama mche wa zao lako.
Umefanikiwa kukusanya mavi ya popo gunia mbili!! We kiboko aisee!Et kwa anaejua zaidi mie ninazo gunia mbili je namna y uwekaji ni kma mbolea ya dukani au
Mbona ni rahisi tu. Kwa maeneo yenye popo wengi ni rahisi kukusanya kiasi hicho.Umefanikiwa kukusanya mavi ya popo gunia mbili!! We kiboko aisee!
Linahus nn
Umefanikiwa kukusanya mavi ya popo gunia mbili!! We kiboko aisee!
Weka kwenye chombo Kama ndoo weka na maji iache ikae hata siku moja kesho yake nenda kaweke ile mbolea kiasi kidogo tu kwa mche maana ni Kali SanaEti kwa anaejua zaidi mie ninazo gunia mbili, je namna ya uwekaji ni kama mbolea ya dukani au?
SureMimi nilishafanyia utafiti juu ya Mavi ya popo, Utafiti huo niliufanya baada ya Mavi hayo ya Popo kuniharibia miche yangu ya Mboga aina ya Chinnesse, ambapo baada ya Utafiti huo nilikuja kugundua kuwa Mbolea ya Popo ni Kali sana, hivyo lazima uwe Mwangalifu kwenye Kipimo, Kipimo inategemea na aina ya zao ulilolilima.
Ndio hivyo mkuu.Sure
inabidi uweke kiasi kidogo tu kwa mche na maji pia uweke maana ukizubaa Miche yako kwisha habari yako
Mkoa gani?kuna sehemu yapo zaidi ya gunia ishirini mbona!