Habari wanasheriana wengineo wa MMU .Mimi ni mdau wa mambo ya technologia na pia nina ka ujuzi kidogo. Nimekua na maswali mengi sana kichwani pangu kuhusu mambo ya sheria kuhusu mambo ya technical.Mimi swali langu kuuuubwa ni kwamba "Je kuna sheria katika kuanzisha makampuni ya ict mfano vile Kikuu,Jamiii forums , Jumia na zingine lukuki huku tanzania yaani mfano labda ujisajili ama kuna sheria za kuzingatia
Asante in advance
Wenu Mr Eqquator!
Asante in advance
Wenu Mr Eqquator!