Nataka kujua kama Wema Sepetu ni Mzanzibari

mzenjiboy

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2010
Posts
907
Reaction score
385
Napenda kujua kama Wema Sepetu ni Mzanzibari kwa sababu mzee wake (baba) alipofariki alipelekwa Zanzibar kwa kuzikwa.
 
mimi hii familia siielew mara baba mkristu lakini watoto waislamu.....
 
Reactions: ram
Hayati Isaac Sepetu alikuwa mzenj.

Hakua mzenji ila aliishi huko miaka mingi. Yeye isack sepetu na kina brigedia mwakanjuki walipelekwa zenji na nyerere wakiwa vijana kbs na wakawa kama wazawa. Mzee sepetu alikua mkristo japo mama yake wema ni muislam mwenye asili ya singida. Mzee sepetu pia alioa mke mwingine kama mzungu hivi na akazaa nae so wema ana ndugu zake halfcast flani
 

Sawa sawa kabisa umepatia si ndio wadogo zake akina Tiro(sijui) tena kunammoja nasikia alizuiliwa kwenda nje ya nchi.
 

Eh! Kama mama yake anatokea Singida,lazma Wema awe vile kwa tabia yake ya kuliwa kama mboga.
 
sio muha kweli???make nlimuonaga kwenye kigoma all stars lol...
 
mimi hii familia siielew mara baba mkristu lakini watoto waislamu.....

ISACK ABRAHAM SEPETU ni mzanzibari mwenye asili ya sikonge Tabora.Kusema kwamba watoto waislamu hayo ni makubaliano yao na mzazi mwenzie.Muungano ukifa wema itabidi arudi kwao Mwanakwerekwe au aukane uraia wa baba yake
 
Mzee Sepetu alikuwa ni mnyamwezi wa TBR na nduguze wengi wapo TBR,Ila ukipitia bio yake utagundua alihamia Zenji zamani kama wewe ulivyojenga hapo ulipo,ukaoa na kuzaa wakati kwwnu ni Nanjilinji

Mama Wema alikuwa ni mke wa pili,wa kwanza alikywa mama Amani,mama Wema akajakuingilia kati......

Alikuwa mkristo mzuri kabisa so Mama Wema alikuwa ni kama Kimada tu kwa mzee Sepetu
 
Kwa nini kipindi cha msiba mama wema alikuwa recognised ndo kama mjane?why wewe unasema ni kimada?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…