Pascal Ndege JF-Expert Member Joined Nov 24, 2012 Posts 2,977 Reaction score 1,897 May 24, 2016 #1 Nataka kujua ni mkoa gani unajihusisha na kilimo cha zao la Mpira? au kampuni gani ninajihusisha na zao la mpira?
Nataka kujua ni mkoa gani unajihusisha na kilimo cha zao la Mpira? au kampuni gani ninajihusisha na zao la mpira?
mbere JF-Expert Member Joined Mar 5, 2015 Posts 6,967 Reaction score 6,465 May 24, 2016 #2 Pascal Ndege said: Nataka kujua ni mkoa gani unajihusisha na kilimo cha zao la Mpira? au kampuni gani ninajihusisha na zao la mpira? Click to expand... Sumba na yanga
Pascal Ndege said: Nataka kujua ni mkoa gani unajihusisha na kilimo cha zao la Mpira? au kampuni gani ninajihusisha na zao la mpira? Click to expand... Sumba na yanga
Pascal Ndege JF-Expert Member Joined Nov 24, 2012 Posts 2,977 Reaction score 1,897 May 24, 2016 Thread starter #3 mbere said: Sumba na yanga Click to expand... Kitwanga wewe
Averoes JF-Expert Member Joined Jan 30, 2014 Posts 985 Reaction score 513 May 26, 2016 #4 Pascal Ndege said: Nataka kujua ni mkoa gani unajihusisha na kilimo cha zao la Mpira? au kampuni gani ninajihusisha na zao la mpira? Click to expand... SMZ Pemba
Pascal Ndege said: Nataka kujua ni mkoa gani unajihusisha na kilimo cha zao la Mpira? au kampuni gani ninajihusisha na zao la mpira? Click to expand... SMZ Pemba
Chillah JF-Expert Member Joined Oct 12, 2016 Posts 8,870 Reaction score 10,066 Jan 25, 2017 #5 Pascal Ndege said: Nataka kujua ni mkoa gani unajihusisha na kilimo cha zao la Mpira? au kampuni gani ninajihusisha na zao la mpira? Click to expand... Tanga kuna mashamba ya serikali wana lima hilo zao.... nami natafuta namna ya kwenda kupata mbegu
Pascal Ndege said: Nataka kujua ni mkoa gani unajihusisha na kilimo cha zao la Mpira? au kampuni gani ninajihusisha na zao la mpira? Click to expand... Tanga kuna mashamba ya serikali wana lima hilo zao.... nami natafuta namna ya kwenda kupata mbegu
Masamila JF-Expert Member Joined Jun 22, 2014 Posts 6,490 Reaction score 7,422 Apr 13, 2019 #6 Hiki zao katika nchi yetu lipo Dormant Ila ni zao linaweza kutajirisha mtu maana ukizingatia ni zao la kwenye mti
Hiki zao katika nchi yetu lipo Dormant Ila ni zao linaweza kutajirisha mtu maana ukizingatia ni zao la kwenye mti
divino Member Joined Sep 19, 2017 Posts 62 Reaction score 77 Apr 14, 2019 #7 Wapo wachina kwenye misitu huko sao hill. Sent using Jamii Forums mobile app