The Eric
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 6,446
- 10,976
Salaam waungwana!
Nina ndugu anataka afanye biashara hii na yeye ni mgeni kwenye hii kazi.
Sehemu anapo taka fungua biashara siyo mjini kiasi hicho japo makazi ya watu yapo ni huku mkoa wa Kilimanjaro.
sasa yeye anataka auze cement, na nondo tu pekee yake maana mtaji wake ni kiduchu sana, japo pango analo halipi kodi ya nyumba, anataka pia ajue yeye anawezaje nunua vifaa hivi cements na nondo kwa Bei rahisi.
Tunaomba mwenye ufahamu atupe ushauri kuhusu maswala mengine maana TRA wameshupalia hii biashara sana hata mtu akiwa na Mtaji kiduchu hawaamini.