nataka kujua kuhusu yanayoandikwa pale charge room na katika file la case

nataka kujua kuhusu yanayoandikwa pale charge room na katika file la case

Ford89

Senior Member
Joined
Jul 31, 2011
Posts
128
Reaction score
15
1.inapotokea umeenda polisi kupeleka malalamiko yako....pale charge room huwa kuna kitabu ambapo charge room officer huandika maelezo.nataka kujua
a.kile kitabu kinaitwaje?
b.ndani ya kile kitabu huwa nini hasa vinaandikwa?(ukinitajia vyote itakuwa bora zaid)
2.case inapofunguliwa,ndani ya lile file la case huwa ni vitu gani vinaandikwa?kama unafahamu unaweza kunisaidia hapa hapa au kwa kunipm au hata ukiniambia nikutafute fresh tu.
natanguliza shukrani
 
Si anaandika kila kitu kuhusu hiyo case au swala lako kutokana na mazingira talivyotokea..sijaelewa unataka nin hasa maana zile ni records tu ambazo kama zikihitajika mahakamani huwasilishwa..swali la kizushi kama unakesi na imepelekwa polisi si uliona kila ulichokua kinaandikwa?
 
najua kwamba lazima wataandika maelezo ila nataka kujua apart from hayo maelezo ni atribute za mlalamikaja huandikwa ?
najua vitu kama hiv huandikwa...FirstName
MiddleName
LastName
Gender
DOB
Nationality
Tribe
Businessaddress
Homeaddress )
Work
Businessphone
Homephone ...nisaidie kitu nilichoacha au kipi nimeongeza ambacho hakipo
 
Back
Top Bottom