Professional Trader
JF-Expert Member
- Apr 5, 2016
- 1,220
- 1,120
Msaada jaman nilikua naomba kujuzwa au kufahamishwa pahala ambapo nitaweza kujifunza urembaji utengenezaji wa kucha wakina dada na ata men's wanaopenda dat kind of fashion
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda mahali wanakotengenezea kucha kaa na wale vijana utajifunza sio kaz ngumu sana ila inakipato.Msaada jaman nilikua naomba kujuzwa au kufahamishwa pahala ambapo nitaweza kujifunza urembaji utengenezaji wa kucha wakina dada na ata men's wanaopenda dat kind of fashion
Okay thanks kwa ushaur mzrNenda mahali wanakotengenezea kucha kaa na wale vijana utajifunza sio kaz ngumu sana ila inakipato.
Mkuu we unajishuhurisha nayo nini?kazi nzuri sana hii................ karibu mkuu
Huu ni uvivu uliopitiliza shika jembe uende shamba,hizi kazi za kucheza na vidole vya dada zetu waachie wanaume wa dar au na ww ni wa huko?Msaada jaman nilikua naomba kujuzwa au kufahamishwa pahala ambapo nitaweza kujifunza urembaji utengenezaji wa kucha wakina dada na ata men's wanaopenda dat kind of fashion
We lima tu mi kila kinachokua ni fursa kwngu nitafanya ata uko kulima wakat ukifka ntalima tu nduguHuu ni uvivu uliopitiliza shika jembe uende shamba,hizi kazi za kucheza na vidole vya dada zetu waachie wanaume wa dar au na ww ni wa huko?