Je kama una mikopo kama mitatu na toka umeanza kazi una muda mchache itakuwajeNadhani utakuwa ni mwanachama wa mfuko wa jamii kama PSPF,NSSF,PPF au LAPF unapoacha kazi,kufariki au hata kufukuzwa jua kuwa kwenye mfuka kuna pesa zako ambazo ni za kiinua mgongo zile ndo wanakata kiasi ambacho unadaiwa mojamoja kinachobaki wanakupatia. Na hata salary slip yako lazima ionyeshe hayo madeni na ukienda kuchukua pesa zako hatua moja yapo ya hiyo mifuko ya jamii ni kupelekea salary slip za miezi 3 tangu ulipoacha kazi au kustaafu au kufariki. Lazima madeni yako yataonekana tu.
Kaka usijiroge kukopa bay port utajuta maisha yako yoteAsante kwa somo Mkuu umejibu kistaarabu
Kaka usijiroge kukopa bay port utajuta maisha yakoNataka kufahamu iwapo nilikopa pesa kwa dhamana ya mshahara Wangu, itakuwaje pindi nimefukuzwa kazi ama nimeacha kazi bila ya kumaliza deni lao? Jee hilo deni lao nani atalilipa pindi mshahara utakaposimamishwa? Jee mkopo wao una bima in case hukufanikiwA kuumaliza? Wadau tujadili
jua pia kuna element ya insurance wakopeshaji wanapaswa kukuchajinijuavyo mie kuna riba ya mkopo yaaan itafidia tatizo lolote litakalo jitokeza ndo mana unapokwenda kukopa mil 4 unapewa lbd mil 3.7 laki tatu ni riba ya kufidia mkopo ni kwa taasisi zote za mikopo
Fafanua mkuu.Kaka usijiroge kukopa bay port utajuta maisha yako
hivi inawezekana ee kufoji kwa dzain hiyo..Kwa hiyo una mpango wa kufoji nyaraka zakifo siyo?