101 East
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 1,057
- 2,221
Hii nimeitoa kwenye kifungu cha 6 cha waraka wa maaskofu kwenda Kwa serikali kifungu hichi kinaeleza Baada ya juhudi zao za mazungumzo Kati Yao na viongozi wa juu wa serikali tarehe tajwa hapo juu kutokuzaa matunda maaskofu imewapelekea kuachia walaka Huu kwenda kwa wananchi.
Kama walaka uvyoanza Kwa kauli mbiu ya: "Sauti ya Watu, Sauti ya Mungu"
Mimi mwananchi wa kawaida pangu pa pakavu tia mchuzi
1: Nataka kujua ni terms au masharti gani yaliyokuwemo kwenye meza ya mazungumzo Kati ya viongozi wa juu wa serikali na maaskofu kuhusu mkataba wa bandari?
2: Kwanini serikali haikuyatilia maanani Yale yaliyoletwa na maaskofu?
3: Kwanini maaskofu hawakutuambia Yale yote walioongea na serikali Katika tarehe tajwa hapo juu?
4: Kwanini iwe ni Siri kikao chenye maslahi ya taifa Kati ya serikali na maaskofu?
5: Baada ya kushindwana kwenye vikao hivi upande mmoja ukaona liwalo na liwe?
Mpaka giza linaingia sijapata majibu labda tusaidiane great thinkers wa JamiiForums
View attachment 2724157