Nataka kujua nini maana ya hili jina Tukinao

Watu wana chuki sana jamani,hivi miaka 37 ni bibi?Au basi tu wametafuta kasoro wakakosa?Hao Team Hamisa na Wema hawana kazi ya kufanya.Wacha waendelee kumtukana ila wajue na wao umri hausimami na wakati haurudi.
ha ha ha ha ha diamond ana miaka 28
 
Wanaomuita hivo sasa ukiwaangalia wako kama polepole hawajulikani ni vijana au wazee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] we mwanamke kwanini unanirudisha kwenye umbea wakati nishaga acha? Comment yako imenivunja mbavu sana hapo kwa polepole. Aiiiii Mungu nisamehe. Nimemvutia picha nimecheka hadi machozi
 
Wanaomuita hivo sasa ukiwaangalia wako kama polepole hawajulikani ni vijana au wazee
Tena kuna zile skeletoni za kule US zimeshupalia hilo jina kwelikweli...wakati ukizisimamisha kule biology lab Students hata hamjui hilo skeletoni ni la bibi au babu.
 
Hivi tukiwapanga hapa Zari,Wema,Mange,Lulu,Hamisa.
Kati ya hao kama hatuto wauliza umri nani anatakiwa kuitwa bibi?


Sema wewe mkuu, we jitu huko Marekani tu linaishi kwa fadhila ya fedha za child support za wanawe halafu sura mbayaaaaaa, anajifananisha na the lady boss Zari????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…