Nataka kujua nini maana ya hili jina Tukinao

Mbona Le Mutuz washkaji zake bado wako primary lakini hakuna noma?
 
Tukinao ni neno alilokuwa anapenda kulitamka Veronica Mpangala kwenye shindano la Bibi Bomba (Clouds). Nadhani lina maana kwa wenyeji kama sikosei kutoka Ruvuma.

Zari kuitwa Tukinao/bibi bomba ni kwamba anafananishwa na ajuza.

watu wanadhambi sana
 
Uwiiiiiiiiiih kumbe ndio maana ya hilo neno, mweeeeeeh makubwa lol.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…