F fred45 Member Joined Jan 23, 2013 Posts 25 Reaction score 0 Apr 2, 2013 #1 hivi ukutaka kuwa wakala wa tigo pesa,inagharimu kiasi gani, na mpesa inagharim kiasi gani, airtel pia,?
hivi ukutaka kuwa wakala wa tigo pesa,inagharimu kiasi gani, na mpesa inagharim kiasi gani, airtel pia,?
OGOPASANA JF-Expert Member Joined Apr 30, 2009 Posts 262 Reaction score 144 Apr 7, 2013 #2 Itakuhitaji mtaji uisopungua laki 2 kwa mitandao yote kwani taratibu zao nyingi hufanana. Ila kwa hili ni vyema ungeenda ktk ofisi zao upate updates maana kuna baadhi ya taratibu hubadilika kila siku. Kila la kheri.
Itakuhitaji mtaji uisopungua laki 2 kwa mitandao yote kwani taratibu zao nyingi hufanana. Ila kwa hili ni vyema ungeenda ktk ofisi zao upate updates maana kuna baadhi ya taratibu hubadilika kila siku. Kila la kheri.