Nataka kukipata

Nataka kukipata

The navi 2

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2013
Posts
352
Reaction score
46
Jamani naomba mnisaidie wengi wamekuwepo kuomba ushauri juu ya kupunguza kitambia
mimi nataka ushauri nifanyeje niweze kupata kitambi....
 
kunywa maji ya mtoto uchanganye na lamao kila siku asubuh na jioni ndani ya wiki moja tayar upo flat
 
kunywa maji ya mtoto uchanganye na lamao kila siku asubuh na jioni ndani ya wiki moja tayar upo flat

Ushauri wako huu hautamsaidia mlengwa sijui umekosea kwa bahati mbaya kwa kukariri jibu au umeamua tu kumpotosha mwenzio
 
Back
Top Bottom