The navi 2 JF-Expert Member Joined Aug 31, 2013 Posts 352 Reaction score 46 Aug 17, 2014 #1 Jamani naomba mnisaidie wengi wamekuwepo kuomba ushauri juu ya kupunguza kitambia mimi nataka ushauri nifanyeje niweze kupata kitambi....
Jamani naomba mnisaidie wengi wamekuwepo kuomba ushauri juu ya kupunguza kitambia mimi nataka ushauri nifanyeje niweze kupata kitambi....
Jambazi JF-Expert Member Joined Jan 18, 2014 Posts 16,648 Reaction score 18,742 Aug 17, 2014 #2 kunywa maji ya mtoto uchanganye na lamao kila siku asubuh na jioni ndani ya wiki moja tayar upo flat
kitwala JF-Expert Member Joined Aug 31, 2012 Posts 1,476 Reaction score 1,066 Aug 17, 2014 #3 Jambazi said: kunywa maji ya mtoto uchanganye na lamao kila siku asubuh na jioni ndani ya wiki moja tayar upo flat Click to expand... Huyu anataka kupata kitambi siyo kuondoa.
Jambazi said: kunywa maji ya mtoto uchanganye na lamao kila siku asubuh na jioni ndani ya wiki moja tayar upo flat Click to expand... Huyu anataka kupata kitambi siyo kuondoa.
kalagabaho JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 5,457 Reaction score 5,893 Aug 17, 2014 #4 Jambazi said: kunywa maji ya mtoto uchanganye na lamao kila siku asubuh na jioni ndani ya wiki moja tayar upo flat Click to expand... Ushauri wako huu hautamsaidia mlengwa sijui umekosea kwa bahati mbaya kwa kukariri jibu au umeamua tu kumpotosha mwenzio
Jambazi said: kunywa maji ya mtoto uchanganye na lamao kila siku asubuh na jioni ndani ya wiki moja tayar upo flat Click to expand... Ushauri wako huu hautamsaidia mlengwa sijui umekosea kwa bahati mbaya kwa kukariri jibu au umeamua tu kumpotosha mwenzio