Natarajia kurudi Tanzania ili kuendesha maisha yangu yaliyobaki mpaka kitakapoeleweka.
Nina Kiwanja Kibaha Lower Density , nataka kukitumia Kuombea Mkopo kwenye Mabenki yetu ya Biashara ! Je Inawezekana ? Maana Nataka 20,000,000 niongezee kwenye Mtaji wangu ili nijiingize katika Biashara Ya Mazao ya Nafaka.
Je Mabenki watanikopesha ? Ushauri muhimu.