[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]we mshenzi utafanya niamshe watu kwa kicheko hahah mifupa ya nguruwe kuvaa kama kacha hahahha jaman aaaaiiiNitatafuta mifupa ya nguruwe nitengeneze kama culture flan hivi ya shingoni nivae.
Nafikiri hapo hawatafanikiwa kunidhuru.
Hivi unajua kuwa bado nacheka au hujui aisee hata sikutegemea kucheka kiasi hiki.Hahaha kwa kweli we ndo umeniua mbavu hahahaa eti ndotoni unaweza ukamuona msichana mrembo mara gafla kaja bujibuji hahahhhahaha nimecheka sana,na nimecheka na mengi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
giLEsi
Hahahhahaha mi ningeongoza kwa kelele[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hivi unajua kuwa bado nacheka au hujui aisee hata sikutegemea kucheka kiasi hiki.
Ingekuwepo system ya voice note sijui ingekuaje jamani.
Swali chokonozi hili em nlaleHivi jamaa haoni wivu unavyocheka mida hii?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ila una mamboLala mamii,nilikuwa naangalia avatar ya bujibuji tena nikajiukuta naangua kicheko upya loh
alochukua simu yako airudishe upesiAmbao hamjalala nawasalimu,
Kama kiulizavyo kichwa cha habari hapo juu,kama kuna member yeyote (asiwe me) anataka kugegedwa nami ndotoni akuje tafadhali.
Hahahaaa. Ujue nilisoma mara kumi kumi mpaka mwisho ndio nikaamini kumbe Mapipando ndio mwandishi wa huu uzi.alochukua simu yako airudishe upesi
mim nimestuka akili yangu imekataa kukubal kama ni mapipando huyuHahahaaa. Ujue nilisoma mara kumi kumi mpaka mwisho ndio nikaamini kumbe Mapipando ndi mwandishi wa huu uzi.
Hahahaaaa. Ngoja aje ajibu tuhuma kwa kweli.mim nimestuka akili yangu imekataa kukubal kama ni mapipando huyu
ngoja nimwite cc Mapipando waitwa hukuHahahaaaa. Ngoja aje ajibu tuhuma kwa kweli.
hii mada nimeona iko tofaut na wew comrade lkn[emoji113] [emoji113]Kwann mkuu?