Wataalamu wa sheria naomba msaada, je ni halali kisheria nikalima bangi nchini kwa ajili ya kusafirisha nchi zilizo halalisha matumizi ya bangi?
Ikumbukwe kwamba nina uhakika 100% kwamba bangi hiyo haitatumika nchini kwa kiwango chochote na nitakua tayari kusaini mkataba wowote kiserikali kulinda hilo.
Ninachohitaji ni exportation tu na hii ni fursa kubwa kwangu.
Naombeni msaada wanasheria wasomi.
Kabla hajasoma inatakiwa aelewe hata kulima tuu inakatazwa.
Soma hapo
Kila kitu kipo kwenye maandishi juu ya pichaKabla hajasoma inatakiwa aelewe hata kulima tuu inakatazwa