Nataka kulima kisasa, natafuta mwenye maono

Jenerali QoyoJB

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2009
Posts
304
Reaction score
160
Habari za leo wana jamiiforums. Nataka kulima kisasa lakini sina ujuzi wa kutosha katika masuala ya kilimo. Nina mtaji kiasi. Nataka nianzishe kampuni yangu ya kilimo cha mboga mboga. Natafuta aliyesomea horticulture teknology mwenye kujua kupanga project ajitokeze. Tukielewana nampa ajira ya kusimamia mradi.
 

Unataka uniajiri? Hapo ndio umekosea,mm nilidhani unataka partner bana!
 
Lete wazo sasa unataka partnership ya bure si lazima uwe na mchango
 
nimesoma general agriculture chuo cha kilimo MATI ILONGA nipo tayar kukusaidia yote hayo BURe ukipendezwa na kaz yangu nipe ajira
 

nitafute 0768577654
 
Mimi ni horticulturist toka horti tengeru,n pm tuongee kama uko Arusha tufanye kaz kama uko nnje ya hapa ninao watu wa kukupatia niliohitimu nao na wanafahamu wakifanyacho,ukiwa umebahatika kufika horti tengeru utaelewa ninachomaanisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…