ngaillob
Member
- Sep 15, 2011
- 66
- 32
Habari ya Leo wanajamvi nmekuwa nikifuatilia kwa makini thread za ukulima Wa vitunguu Mda mrefu humu ndani hata kabla sijawa member salsa niamua kuta kulima vitunguu ruaha mbuyuni iringa sasa naomba Mtu ambae yupo Hapo nipate namba yake ya simu anipe uzoefu kwa upande Wa iringa bei ya kukodi shamba,mwezi mzuri Wa kulima,gharama kwa ujumla na mavuno huwa yanakuwa kiasi gani name soko zuri huwa mwezi UPI naomba msaada wenu