Nataka kulima vitunguu Ruaha Mbuyuni Iringa msaada

ngaillob

Member
Joined
Sep 15, 2011
Posts
66
Reaction score
32
Habari ya Leo wanajamvi nmekuwa nikifuatilia kwa makini thread za ukulima Wa vitunguu Mda mrefu humu ndani hata kabla sijawa member salsa niamua kuta kulima vitunguu ruaha mbuyuni iringa sasa naomba Mtu ambae yupo Hapo nipate namba yake ya simu anipe uzoefu kwa upande Wa iringa bei ya kukodi shamba,mwezi mzuri Wa kulima,gharama kwa ujumla na mavuno huwa yanakuwa kiasi gani name soko zuri huwa mwezi UPI naomba msaada wenu
 
Samahani kwa typing error Lakini nafikiri nimeeleweka wakuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…