Nataka kulipa kodi ya VAT, TRA hamtaki... are you serious?

KILLAKIJO

Member
Joined
Oct 12, 2014
Posts
90
Reaction score
11
Kwa wahusika 20/10/2017 ni deadline na mliniandikia barua kuanza KULIPA Mwezi September Online.

Nipo online tangia asubuhi kwenye TAX RETURN ELECTRONIC FILING SYSTEM Usajili is complete tangia majuzi. Nimelog in mimejaza fomu ya kwanza nimemaliza.

Nimetiki kuthibitisha fomu imejazwa poa nimecliki next imekuja fomu ya pili. Nimeselect na kuapload excel file niloijaza imekubali.

Sina mauzo mwezi huo najaribu kusubmit ngoma inakataa. Nimepiga simu kwa mtu wa TRA tuliyetambulishwa kuwa mtoa Elimu simu akipokea anakuambia subir dakika tano nitakuelekeza inakua imetoka piga simu ujuavyo hapokei. Siku zinanepa are you seriuos?
 
Kwenye mauzo weka hata sh 1 itakubali
 
Back
Top Bottom