Nataka kumiliki shule kuanzia chekechea mpaka kidato cha sita

Nipo kusoma comments..

nina tarajio Kama lako ila Mimi babyday care hadi darasa la saba..

Kila la kheri
Njoo nikufundishe kila kitu - bure kabisa [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
Tafuta mtaji wewe.. Unadhan hivyo vitabu vitajenga madarasa??
 
Tafuta mtaji wewe.. Unadhan hivyo vitabu vitajenga madarasa??
Mtaji nitaanza kidogo kidogo,mfano eneo nilishalinunua la kuanzia.Nia ekelari 15 kwahyo nataka nipate kujua chalenges na kukomaa kwa kupata maarifa ya ziada.
 
Kabisa Bosi, sababu haiwezekani kabisa huyo Controla awe muhamasishaji hodari kwa kila uzi utaohusu business online.

Kibaya zaidi yuko radhi kujibizana hata na kijiji kizima hapa JF hata akikashfiwa kwa matusi kede kede bado tu hupambana kuyaoga.
Daah we jamaa umeona mbali sana,nilishawahi kumwambia humu JF huyo Controla ndio huyo huyo Ontario.
 
Anza kwa kufungua tuition centre mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…