Kamishna wa Polisi CP Alfred Tibaigana.
'Turipambana na majambazi hayo sita, tukayajeruhi. Wakati tukiyapereka hospitali manne yakafariki njiani hivyo ni mawiri tu yariyofikishwa hospitari yakiwa hai'
Au
'Turipambana na majambazi kutoka Burundi na DR Kongo yariyoua mbwa wa porisi. Katika kurushiana risasi baadhi turiyaua, mengine turiyasaka katika nyumba za kulala wageni tukayakamata baadhi ila machache yariuawa na wanachi wenye hasira kali'
Jamaa alikuwa hacheki na kima wa ujambazi.
Watu wake wakikamata majambazi wengi wao watafariki 'wakiwa njiani kupelekwa hospitali', ni wachache wanaofika hospitali au vituo vya polisi wakiwa hai.
Majambazi walikimbia jiji kwa speed ya Usain Bolt.
ri