Nataka kumjua huyu radhi ni nani

mogulnoise

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2014
Posts
2,435
Reaction score
5,541
Wadau sitaki niwachoshe nataka numjue huyu radhi coz nina hasira hasa leo baada ya kukosa nishati ya umeme nikiuliza eti Tanesco wameomba radhi huyu radhi ni nani timu ikifungwa inaomba radhi ccm wakiaribu wanamuomba uyo uyo radhi

So wadau radhi ni nani usikute kuna wapumbuvu wanamsingizia radhi kumbe wao ndio tatizo
 
Ngoja waje wanaomjua mimi nawahi siti
 
Yupo nchini tokea awamu ya pili kwa uzamini wa makinikia ila hata mimi sijawai kumuoana..
 
tumekaribia kuokota makopo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…