Nataka kumshitaki huyu member! Nafungua shitaka! Haiwezekani atudharau hivi!!

Nataka kumshitaki huyu member! Nafungua shitaka! Haiwezekani atudharau hivi!!

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2011
Posts
11,483
Reaction score
3,369
Si mwingine ni member "Dotto Athumani"

Namfungulia shitaka ktk thread yake ya leo 06/04/2012 alivyotusema kuhusu Wanainchi wa A town!

Mi sikubaliani naye kabisa!

Jukwaa lengwa ninaruhusiwa kumshtaki????
 
mkuu embu niambie jina la thread au link kabla sijasema chochote, kwani kasemaje mkuu
 
Si mwingine ni member "Dotto Athumani"

Namfungulia shitaka ktk thread yake ya leo 06/04/2012 alivyotusema kuhusu Wanainchi wa A town!

Mi sikubaliani naye kabisa!

Jukwaa lengwa ninaruhusiwa kumshtaki????
Naunga mkono hoja! Kilaza mkubwa huyo...
 
Naunga mkono hoja! Kilaza mkubwa huyo...


Yani huyu member cjui katumwa na nani,sijui kama ni kichwa chake kweli,Ngoja niwasubirie wenye jukwaa tajwa nipate ridhaa yao.
 


Huyu Dotto Athumani Mi nitajuana naye labda atukimbie humu jamvini kama wale watumwa wengine wa chama fulani inayotumikisha watu bila wao kujua!

Huyu ni size kbs! Labda vipengele humu jamvini zienguliwe!
 
Hili jukwaa nilikoweka lalamiko haina member wa kutusikiliza wadau tunapokuja na hoja tete kama hii ya Dotto Athuman????

Kama hampo wanasheria tujuzeni Mi binafsi nijue cha kufanya maana huyu member tajwa hapo juu hakika alikofikia katika kauli yake kwa wenyeji wa A town Mi sijafurahi hata kidogo!

Hili la kwake siikubali!! Ntakomaa naye.
 
Acha kumpa umaarufu mavi asiostahili, au ndo ww mwenyewe unajipa promo?
 
Nadhani lugha aliyoitumia ndio hali yake ilivyo, kwahiyo anafikili wote wako hivyo kama yeye.
 
Katafute kwanza maana ya neno "baadhi" kama alivyoesema kwenye thread yake "baadhi ya wananchi wahuni wa Arusha" af ndo uje na hiyo nanii yako! Kama na wewe ni mmoja ya hao baadhi na mimi nakuita muhuni tu, kanifungulie mashtaka
 
hata moderator kwa nini hakufuta huu upuuzi?


Mpaka sasa nasubiria majibu ya Moderator wa jukwaa lengwa,Nisikie majibu then nijue namna ya kumburuza huyu chizi D,A mbele ya sharia ya JF!
 
Hapa sio mahala pa kutukanana, moderator awe mwangalifu na thread chonganishi.
 
Si mwingine ni member "Dotto Athumani"

Namfungulia shitaka ktk thread yake ya leo 06/04/2012 alivyotusema kuhusu Wanainchi wa A town!

Mi sikubaliani naye kabisa!

Jukwaa lengwa ninaruhusiwa kumshtaki????

unahitaji twisheni ya kutumia forums

pole sana kwa kukurupuka
 
unahitaji twisheni ya kutumia forums

pole sana kwa kukurupuka


Subiria nipate rukuza toka kwa wakuu uone ya kwamba nahitaji tuition ya kutumia forums ama sihitaji!

(Utamwonea huruma Dotto Athumani)

Ngoja tu kuna PM nasubiria,na hapo ndipo utajua sheria ni msumeno!
 
Back
Top Bottom