LiverpoolFC
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 11,483
- 3,369
Naunga mkono hoja! Kilaza mkubwa huyo...Si mwingine ni member "Dotto Athumani"
Namfungulia shitaka ktk thread yake ya leo 06/04/2012 alivyotusema kuhusu Wanainchi wa A town!
Mi sikubaliani naye kabisa!
Jukwaa lengwa ninaruhusiwa kumshtaki????
Naunga mkono hoja! Kilaza mkubwa huyo...
nimeiona mkuu hiyo thread, hii hapa kwa wanaohitaji kuisoma
Topic: Maoni yangu dhidi ya "Baadhi ya wananchi wahuni" wa Arusha kujaribu kuzuia wanahabari wa TBC
si sawa kuwaita wahuni na tena haoni sababu hata ya kuedit kwani kureport abuse ni mpaka mtu akutukane tusi kubwa?kuhusu kumshitaki ngoja wanasheria waje hapa watatupa moungozo.
hata moderator kwa nini hakufuta huu upuuzi?
Acha kumpa umaarufu mavi asiostahili, au ndo ww mwenyewe unajipa promo?
Kaka jambazi unaweza kunitabiria lini nitakuwa tajiri??
Si mwingine ni member "Dotto Athumani"
Namfungulia shitaka ktk thread yake ya leo 06/04/2012 alivyotusema kuhusu Wanainchi wa A town!
Mi sikubaliani naye kabisa!
Jukwaa lengwa ninaruhusiwa kumshtaki????
unahitaji twisheni ya kutumia forums
pole sana kwa kukurupuka