Ushirombo
JF-Expert Member
- Jan 22, 2013
- 3,558
- 2,702
Wakuu naishi hapa karibu na Micasa lounge Riverside. Wamekua wakipga muziki kwa sauti kubwa sana,kiasi kwamba houses within 200m kutoka hapo bar tunapata shda sana.
Yaani usiku kama huu sauti iko juu kweli.Mnishaur wanasheria nataka nimpeleke kwa pilato,nafanyaje? Ushahidi naupataje?ni sheria gan kavunja?
Yaani usiku kama huu sauti iko juu kweli.Mnishaur wanasheria nataka nimpeleke kwa pilato,nafanyaje? Ushahidi naupataje?ni sheria gan kavunja?