wakuu naish hapa karibu na micasa lounge river side,amekua akipga muziki kwa sauti kubwa sana,kiasi kwamba house within 200m kutoka hapo bar tunapata shda sana,yaan ucku kama huu sauti iko juu kwel.Mnishaur wanasheria nataka nimpeleke kwa pilato,nafanyaje? Ushahd naupataje?ni sheria gan kavunja?
thank you for no. 2 and 3! Habari kueleweka inategemeana na akili yako na yangu.1. jifunze kuandika kwa ufasaha ili habari yako ilete maana halisi
2.jaribu kwanza kuanza na ofisi ya serikali ya mtaa peleka malalamiko
3.zungumza na baadhi ya mnaokwazika na Sauti hiyo na wote mkaongee naye mmiliki kama yatafanyika mazunguzo
Asante