Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,380
Ndugu zangu kuna mwanamke aliolewa katika umri mdogo na jamaa saizi ya baba yake na akafunga ndoa kanisani(pentecoste), ndani ya mwaka mmoja na nusu ndoa ikavunjika baada ya binti kujifungua na akarudi kwao. Mpaka sasa wanamiaka 4 hawako pamoja ila jamaa kaoa mke mwingine na matumizi hatoi, binti naye sasa anataka kuolewa ni meneja kampuni fulani hapa mjini, Ni memshauri akachukue talaka mahakamani ili awe huru kuolewa. je ni kimuoa ndoa itakuwa salama au mabo yatakuwa magumu sana,,,,,,jamani ananipenda sana na mimi nampenda zaidi halafu ana future sana kuliko hata niliyenaye. USHAURI WA HEIKIMA TAFADHALI