wanayo unlimited bei ya chini ni 50k na kuendelea kulingana na speedHalotel hawana unlimited ya 50k, bali wanakupa gb , amabyo kimsingi sio unlimited
180kNa kinauzwa bei gani?
Nauliza. Voda wanazo line maalum za internet kama Halotel?Aisee bando linatembea aisee.
Parefu na nipo peke yanguwana
wanayo unlimited bei ya chini ni 50k na kuendelea kulingana na speed
ukiwa mazingira mazuri unaenjoy mbona maan kuna mwana anayo anaunga
180k
bas kanunue cha airtel cha 50k upate free 20GB kwa mweziParefu na nipo peke yangu
Mtandao wake unazingua sana?
Mimi nilinunua router nikajiunga kwa 110,000. Ikawa inazingua balaa nikasema ni upgrade kwenda 200,000. Hiyo ya laki mbili ikawa nsio hovyo kabisa bora na ile ya laki. Nimelitupa li ruta lao stoo.Maana waweza ingia kwa 110K, ukatakiwa kila mwezi ulipe 110K na sio kile kidogo cha 70K ( 10mbps )
- Je kwa speed ile ya 10mps? au 30mbps?
- Fuatilia upate ufafanuzi.
---
Watu wengi wanalalamikia wacha tu niendelee kuunga bandobas kanunue cha airtel cha 50k upate free 20GB kwa mwezi
Duh! Alafu Airtel wanazingua sana ujue kwasababu hapa jirani kuna mtu anayo nahisi analipiaga elf70 sasa ametuconnect watu kadhaa, wote mkiwa mnatumia kwa pamoja mtandao unajivuta mara idisconnectMimi nilinunua router nikajiunga kwa 110,000. Ikawa inazingua balaa nikasema ni upgrade kwenda 200,000. Hiyo ya laki mbili ikawa nsio hovyo kabisa bora na ile ya laki. Nimelitupa li ruta lao stoo.
Shida hii unayoisema ni kubwa huwezi weka mfuko hata wa shati IPO kama thermos.Ungepata mtu mkashea ile ya 70k unlimited ndio inamake sense hizi za kupiwa jau sana.
Wewe nakujua uko halmashauri flani na unayeshea nae ni mwana ccm katibu wa uvccm. Bisha.Alafu kweli, sema jirani yangu anahama ningeshea naye
Nataka niwatumie kwenye CCTV camera nyumbani kwangu vipi katanifaa?kako frsh ila inategemea na eneo unaloishi
kauzwa 45k to 50k unapata GB 20 bure kwa mwezi
kurecharge vifurushi vyake ni kuanzia 10k unapata GB 10, 20k unapata GB 20 hakan unlimited and so...
hakaendi sana MB
tatizo lake kuu hakakai na charge alaf kakipata watumiaje zaidi ya watatu kachemka kam oven ila kako frsh kwa matumiz yako binafs au na dem wko mnasave sana
Mimi nilinunua router nikajiunga kwa 110,000. Ikawa inazingua balaa nikasema
- Hapa ulichofanya ni ku_downgrade Mana Router ya 200K package yake in 10mbps. Hivyo umetoka kwenye 30mbps na kushuka hadi 10mbpsni upgrade kwenda 200,000.
Nimesoma comments zote,Watu wengi wanalalamikia wacha tu niendelee kuunga bando
Asante mkuu, ila mimi napendaga kucheki movie na videos naona haitanifaaNimesoma comments zote,
Mimi natumia pocket wifi hiyo ya Airtel, naona inafanya kazi vizuri tu bila shida kulingana na matumizi yangu ya kila siku, ni matumizi ya wastani.
Pia, sikutaka hiyo kubwa kulingana na matumizi yangu,
Nilitaka ndogo ili iwe rahisi kuibeba na kutembea nayo mfukoni tu.
Kwangu ipo fresh tu, japokua ni 4G tu, na siyo kwamba nipo mjini sana kivile bali huku maeneo yenye "changanyikeni"
Gharama ni kama ulivyoambiwa, ila kama una matumizi makubwa, tafuta za juu zaidi, naona tigo na voda ziko fresh
Jipange za juu zaidiAsante mkuu, ila mimi napendaga kucheki movie na videos naona haitanifaa
Pamoja mkuuJipange za juu zaidi
iyo laini unapewa na pocket wifi?Mi ninayo laini ya halotel ya m2m kifurushi cha 50000 ni unlimited
Laini unanunua peke yake, ukitaka vyote wanakupigia hesabu...iyo laini unapewa na pocket wifi?
Ninazo kama 3 hivi, moja naitumia, 2 bado mpya.Wakuu kwa hizi gharama za bando nimefikiria ninunue kale ka wi-fi kadogo ka Airtel kwa aliyewahi kutumia naomba ushuhuda, je hakisumbui mtandaoni?
---Je kwa speed ile ya 10mps?