Wadau naomba ushauri wenu kuhusu bajaj kama kuna model tofauti, ni ipi nzuri na inagharimu shilingi ngapi? kama kuna specification zingine naomba mnijuze kwani mim sio mtaalam wa vitu hvi. Nawasilisha
Nunua tvs mkuu@tiko tricks zimefungwa gps waweza fuatilia hata zinapoibiwa
Kuhusu wizi usiogope sana matatizo kawaida kwenye biashara jiamini mkuu mbona unaweza
Kamata fursa upigie mihela
Nunua tvs mkuu@tiko tricks zimefungwa gps waweza fuatilia hata zinapoibiwa
Kuhusu wizi usiogope sana matatizo kawaida kwenye biashara jiamini mkuu mbona unaweza
Kamata fursa upigie mihela