TVS king ni brand nzuri, ina muundo mzuri, inadumu na design yake kwa ujumla iko makini zaidi ya Bajaj.
Mwisho wa siku kwa barabara za bongo lazima uwe serious na service halafu ujue baada ya mwaka ujiandae to kuanza mchakato wa major repairs. Kila la heri, mimi nimeuza zangu maana nimechoka kufanya repairs kutwa kucha.