SamuraiJack
JF-Expert Member
- Dec 24, 2017
- 225
- 239
Habari wanajamvi!
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza mwenzenu nataka kununua Mercedes Benz C180 ya 2006.
Najua kuna wenye uelewa wa hali ya juu kuhusu haya magari.
Kwa upande wa bei yake sio tatizo so far naona bei ni affordable kwa hiyo model. Ninachohitaji kufahamu ni Je Model hii spare zake zinapatikana kwa urahisi? Consumption ya mafuta? Gharama ya kuifanyia maintainance/service na common problems zake.
Asanteni.
Sent using Jamii Forums mobile app