kinywanyuku
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 3,862
- 3,098
hamna mkuu nilikuwa nataka kwa ajili ya matumizi ya nyumbaniKiongozi unataka kianza kuuza juice
dah mkuu hata elfu 50 siwezi kupata kitu kizuriJipige pige ufikishe walau 80k upate kitu kizuri
kuna za elfu 45 niliziona kkoo sasa tatizo majina mengi sijui kama imaraJipige pige ufikishe walau 80k upate kitu kizuri
Jiandae kutoa 45000 nyingine ndani ya mwezi...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hizo ni feki hakuna kituukuna za elfu 45 niliziona kkoo sasa tatizo majina mengi sijui kama imara
bei shilingi ngapi hiyomedia brand nafikiri ndy imara lakini bei zake zinakuwa zimechangamka kiasi
kwa dar maduka ya vitu used yanapatikana wapi mkuuUnaweza kupata kwa wanauza vitu used kutoka nje.
maduka ya vyombo mtumba nipata kkoo sehemu gani mkuuKenwood mtumba 80000.
Yapo sehemu kibao inategemea unaishi wapikwa dar maduka ya vitu used yanapatikana wapi mkuu
me naishi gongo la mboto kwa kkoo naweza kuyaona mitaa ganiYapo sehemu kibao inategemea unaishi wapi