afande kifimbo
JF-Expert Member
- Aug 31, 2015
- 6,303
- 2,716
wapo wengi tu mkuu mjiniJamani wadau, wauzaji gani wanaweza kuniuzia bodaboda kwa mkopo nilipe awamu mbili au tatu. Aina yoyote iwe Tvs iwe Haoujue au Fekon sawa tu.
Shukrani
Sent using Jamii Forums mobile app
Niko Jiji la Makamba aisee Daaa ri SalamaUpo mkoa gani Wahindi wanafanya biashara hiyo tena wao wanataka uwapelekee hesabu ya elf 10 kila siku
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa wapi mkuu location au ofisi kabisa nifanye mpangoUpo mkoa gani Wahindi wanafanya biashara hiyo tena wao wanataka uwapelekee hesabu ya elf 10 kila siku
Sent using Jamii Forums mobile app
ofisi mojawapo mkuu...wapo wengi tu mkuu mjini
sema watahitaji wadhamini au mali kama dhamana yako
Sent using Jamii Forums mobile app