Nataka kununua body spray, ipi itanifaa?

PlayBoyMwema

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2014
Posts
1,714
Reaction score
1,829
Habari zenu wana JF,

Naomba ushauri wenu nataka kununua body spray ya kiume lakini sijui ipi ni nzuri nataka body spray isiyo na harufu kali na inayokaa muda mrefu angalau masaa 7 na kuendelea.

Kama waifahamu body spray yoyote yenye sifa hizo na inauzwa bei kuanzia 5000 hadi 10000 naomba nitajie.

Asanteni
 
Zipo zile za Made in Kigamboni,zilizokamatwa Sinza Madukani ni nzuri sana.
 
Wewe body spray haitakufaa mkuu....kwa hiyo bajeti nunua ndimu za kutosha na chupa ya Vinegar itakusaidia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…