Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa VEO basi!. Hapo ndo utaunganishwa na m/kiti wa kitongoji wa eneo kiwanja kilipo.Wadau habar.
Nipo katika mchakato wa kununua eneo linamilikiwa kimila (unsurveyed area) search natakiwa kuifanya wapi tofauti na village land registry? Msaada jaman