Nataka kununua fensi kwa ajili ya kutenga mipaka ya shamba

Nataka kununua fensi kwa ajili ya kutenga mipaka ya shamba

Joined
Jan 28, 2022
Posts
42
Reaction score
43
Nataka kununua fensi kwa ajili ya kutenga mipaka ya shamba. Sifahamu chochote kuhusu VIPIMO VYAKE, UBORA NA BEI kwa sasa. Naomba kujuzwa
 
niliwauliza mafundi nikajibiwa na mmoja wao hivi👇🏿👇🏿

Screenshot_20211108-111714_1.jpg
 
Tafuta za plastic ni cheap zaidi...na haziibiwi na vibaka wa vyuma chakavu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Hivi zile fensi kama pale kijazi interchange ubungo zinasimama st ngapi na zinakuwa na urefu wa kiasi gani
 
Fence sio za plastic, milingoti ndio inakuwa ya plastic kamasikosei kiwanda cha hii milingoti kipo tegeta
 
Wakuu Wenye Picture Na Bei Wekeni Tuone Ili Tufanye Maamuzi
 
Back
Top Bottom