Nataka kununua gar 124L yenye Hali nzuri nishilingi ngap kwa mtu

malembeka18

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2018
Posts
3,266
Reaction score
3,698
Wakuu Kama kichwa Cha habar kilivyoeleza hapo juu nategemea pia kuinunua gari yamzigo 124L kichanja inayoweza pia kuwekwa bodi bomba zakupachika ikawa na matumizi mawili kichanja na Ile wanasema ya ng'ombe nishilingi ngap kwa mtu gar yenye Hali nzuri kabisa
 
Mkuu 124L ya HP 420 iliyo safi kabisa horse pekee mkononi kwa mtu andaa kabisa 40M kuhusu hilo trailer bei yake inaathiriwa na mambo mengi kuanzia aina ya axles, kampuni iliyotengeneza, either ni single lala au double lala, nk so ni wewe kuweka vigezo hasa trailer ya namna gani unailenga mkuu.
 
Na pia kama ndiyo lori lako la kwanza kabisa kumiliki usichukue R series aisee utakuja kunishukuru baadae, komaa na either 113 au 124 baaasi halafu ukiyajua magari nje ndani ndii uongeze hizi za 5th series
 
Unamaanisha 124L sindio
 
Mkuu 124L ya HP 420 iliyo safi kabisa horse pekee mkononi kwa mtu andaa kabisa 40M kuhusu hilo trailer bei yake inaathiriwa na mambo mengi kuanzia aina ya axles, kampuni iliyotengeneza, either ni single lala au double lala, nk so ni wewe kuweka vigezo hasa trailer ya namna gani unailenga mkuu.
Kwauzoefu wako trailer yakampuni gani ninzur na axels gan nzur kwa mizigo
 
Mkuu 124L ya HP 420 iliyo safi kabisa horse pekee mkononi kwa mtu andaa kabisa 40M kuhusu hilo trailer bei yake inaathiriwa na mambo mengi kuanzia aina ya axles, kampuni iliyotengeneza, either ni single lala au double lala, nk so ni wewe kuweka vigezo hasa trailer ya namna gani unailenga mkuu.
Nalenga trailer ya kubeba mizigo ya Aina yote ng'ombe nafaka za Aina zote yaan trailer ambayo Itakua kichanja napia naweza chomeka bomba bodi zake kuweza kubeba mizigo yakufunika turubai au kutofunika Kama mafuta yakula,ng'ombe,mbuzi,mizigo ya volume Kama maboksi boks
 
Kuna scania flani hivi maarufu kama kamongo na kuna zingine zinaitwa streem liner hizo hapo ni gari ngumu spea zake rahisi na ni nyingi, pia mafundi wengi wanazimudu kuzifanyia matengenezo.
Mtafute fundi wa sub scania atakupa michongo ya kupata gari nzuru kwa gharama nafuu.
 
Nalenga trailer ya kubeba mizigo ya Aina yote ng'ombe nafaka za Aina zote yaan trailer ambayo Itakua kichanja napia naweza chomeka bomba bodi zake kuweza kubeba mizigo yakufunika turubai au kutofunika Kama mafuta yakula,ng'ombe,mbuzi,mizigo ya volume Kama maboksi boks
Mkuu zile trailer tunazoziita 'za ng'ombe'(zenye milango ubavuni sio za kuchomeka bomba bali inakua imejengwa hivyo.

Trailer nzuri itaamuliwa na budget yako.
🐒Axles ziwe BPW
🐒Tyre ziwe double lala
🐒Best ni trailer yoyote ambayo ni nyepesi hata AM TRAILER sio mbaya.

Ukumbuke trailer za ng'ombe nyingi zilizopo ni zile za UK akina DEnnison ambazo zikajengewa body hapa hapa nchini.
Bei zake mkononi kwa mtu unaweza kupata si chini ya 20M kwa hizi za UK lakini hiyo AM ujiandae na kitita kizito
 
Mkuu zile trailer tunazoziita 'za ng'ombe'(zenye milango ubavuni sio za kuchomeka bomba bali inakua imejengwa hivyo.

Trailer nzuri itaamuliwa na budget yako.
[emoji205]Axles ziwe BPW
[emoji205]Tyre ziwe double lala
[emoji205]Best ni trailer yoyote ambayo ni nyepesi hata AM TRAILER sio mbaya.

Ukumbuke trailer za ng'ombe nyingi zilizopo ni zile za UK akina DEnnison ambazo zikajengewa body hapa hapa nchini.
Bei zake mkononi kwa mtu unaweza kupata si chini ya 20M kwa hizi za UK lakini hiyo AM ujiandae na kitita kizito
Am inaweza fika shilingi ngap
 
Kuna scania flani hivi maarufu kama kamongo na kuna zingine zinaitwa streem liner hizo hapo ni gari ngumu spea zake rahisi na ni nyingi, pia mafundi wengi wanazimudu kuzifanyia matengenezo.
Mtafute fundi wa sub scania atakupa michongo ya kupata gari nzuru kwa gharama nafuu

Am inaweza fika shilingi ngap
Hadi 40 kama likiwa kwenye mint condition
 
Back
Top Bottom