malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,266
- 3,698
Unamaanisha 124L sindioNa pia kama ndiyo lori lako la kwanza kabisa kumiliki usichukue R series aisee utakuja kunishukuru baadae, komaa na either 113 au 124 baaasi halafu ukiyajua magari nje ndani ndii uongeze hizi za 5th series
Trailer nayo shingapKichwa pekee (tractor) bei ni around 50m
Kwauzoefu wako trailer yakampuni gani ninzur na axels gan nzur kwa mizigoMkuu 124L ya HP 420 iliyo safi kabisa horse pekee mkononi kwa mtu andaa kabisa 40M kuhusu hilo trailer bei yake inaathiriwa na mambo mengi kuanzia aina ya axles, kampuni iliyotengeneza, either ni single lala au double lala, nk so ni wewe kuweka vigezo hasa trailer ya namna gani unailenga mkuu.
Nalenga trailer ya kubeba mizigo ya Aina yote ng'ombe nafaka za Aina zote yaan trailer ambayo Itakua kichanja napia naweza chomeka bomba bodi zake kuweza kubeba mizigo yakufunika turubai au kutofunika Kama mafuta yakula,ng'ombe,mbuzi,mizigo ya volume Kama maboksi boksMkuu 124L ya HP 420 iliyo safi kabisa horse pekee mkononi kwa mtu andaa kabisa 40M kuhusu hilo trailer bei yake inaathiriwa na mambo mengi kuanzia aina ya axles, kampuni iliyotengeneza, either ni single lala au double lala, nk so ni wewe kuweka vigezo hasa trailer ya namna gani unailenga mkuu.
Mkuu zile trailer tunazoziita 'za ng'ombe'(zenye milango ubavuni sio za kuchomeka bomba bali inakua imejengwa hivyo.Nalenga trailer ya kubeba mizigo ya Aina yote ng'ombe nafaka za Aina zote yaan trailer ambayo Itakua kichanja napia naweza chomeka bomba bodi zake kuweza kubeba mizigo yakufunika turubai au kutofunika Kama mafuta yakula,ng'ombe,mbuzi,mizigo ya volume Kama maboksi boks
Am inaweza fika shilingi ngapMkuu zile trailer tunazoziita 'za ng'ombe'(zenye milango ubavuni sio za kuchomeka bomba bali inakua imejengwa hivyo.
Trailer nzuri itaamuliwa na budget yako.
[emoji205]Axles ziwe BPW
[emoji205]Tyre ziwe double lala
[emoji205]Best ni trailer yoyote ambayo ni nyepesi hata AM TRAILER sio mbaya.
Ukumbuke trailer za ng'ombe nyingi zilizopo ni zile za UK akina DEnnison ambazo zikajengewa body hapa hapa nchini.
Bei zake mkononi kwa mtu unaweza kupata si chini ya 20M kwa hizi za UK lakini hiyo AM ujiandae na kitita kizito
Kuna scania flani hivi maarufu kama kamongo na kuna zingine zinaitwa streem liner hizo hapo ni gari ngumu spea zake rahisi na ni nyingi, pia mafundi wengi wanazimudu kuzifanyia matengenezo.
Mtafute fundi wa sub scania atakupa michongo ya kupata gari nzuru kwa gharama nafuu
Hadi 40 kama likiwa kwenye mint conditionAm inaweza fika shilingi ngap