Boeing 747
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 3,515
- 9,415
qashqai na dualis ni gari moja ila masoko tofauti. Nissan wanauza hiyo gari America kwa jina la qashqai na soko la Japan inauzwa kwa jina la Dualis...Sio kweli japo yote ni Nissan
Oooh ok mkuuqashqai na dualis ni gari moja ila masoko tofauti. Nissan wanauza hiyo gari America kwa jina la qashqai na soko la Japan inauzwa kwa jina la Dualis...
Ni kama vile unavyoona Toyota Vitz na Toyota Yaris..
Baada ya hiyo Kodi, ongezea kama 1m ndo utachomoa gari lako, kwahiyo jumla inakuwa 6.8Mhio 5.8M ndio bei yake baada ya kodi au vipi?
i mean baada ya clearanceView attachment 1522206
Sawa mkuuNi gari moja tu, tofauti ni masoko tu, inayouzwa soko la japan inaitwa Nissan Dualis na masoko mengine wanaita Nissan Qashqai.
qashqai na dualis ni gari moja ila masoko tofauti. Nissan wanauza hiyo gari America kwa jina la qashqai na soko la Japan inauzwa kwa jina la Dualis...
Ni kama vile unavyoona Toyota Vitz na Toyota Yaris..
Dualis na qashkai ni gari mojaDualis na Qashqai yana utofAuti gani na kwann umechagua dualis mkuu
Mzee Fuel consumption 2AZ 2.4....????? au 5sIna nafasi kubwa ndani
Ni multipurpose saver
Ni ngumu.
Ina himili rough roads..
Dualis na qashkai ni gari moja
hiyo ni kodi TU bado gharama ya kununua gari kule sbt ijumlishe apo. Usije ukaleta gari likapigwa mnada unashangaaa....hio 5.8M ndio bei yake baada ya kodi au vipi?
i mean baada ya clearanceView attachment 1522206
Kwema Boss
Nimejaribu kufatilia sana Dualis na Qashqai ufanano wake japo mimi si mtaalamu sana...
Ngoja wenye magari waje. Mimi nina jino moja (fala), mswaki (kujimwambafai) wa nini?Nataka gari ambayo ni rahisi kutengeneza pia vifaa vyake visiwe vya gharama kubwa.
Pia nataka gari ambayo matumizi ya mafuta yawe ya wastani per km pia gari inayo stahimili barabara mbaya za vijijini yaani gari yenye 4WD...
Aandae 25m na wese la kutoshaChukua kluger V mnyama Kaka.
Xtrail old model ipoje wakuu?Harrier old model,hakikisha ina spoiler na rim kubwa hutajutia...
Subaru uimara umeanza lini?Kwa uimara mpaka Mjukuu alitumie beba forester
Mkataba. Sema Bei imechangamka mpaka Raha bila 35m TZS hujailamata used from Japankuna kitu kinaitwa vanguard
Gari ya 4WD halafu inywe mafuta vizuri? Haijaundwa badoNataka gari ambayo ni rahisi kutengeneza pia vifaa vyake visiwe vya gharama kubwa.
Pia nataka gari ambayo matumizi ya mafuta yawe ya wastani per km pia gari inayo stahimili barabara mbaya za vijijini yaani gari yenye 4WD.
Gari ninazo zipenda
1. Dualis
2. Qshqai
3. Kluger
4. Harrier Old Model
5. Subaru Forester
Zote ziwe na 4WD naomba uchambuzi wenu wajuzi wa mambo na masuala ya magari mimi kama kijana lipi litanifaa pia napokea ushauri wa gari mbadala wa hayo.
Ahsante
Oil huwa wanamwaga chooni kaka?Sijawahi kuikuta gereji wala bara barani ikiwa imezima. Wengi niliowaona nazo wamekaa nazo kwa muda, means wako satisfied..
Pia Quashqai sijawaona nazo watu wengi.
Chukua hiyo.
Used 2007 NISSAN DUALIS 20G FOUR/DBA-NJ10 for Sale BH363342 - BE FORWARD