Nataka kununua Gari UK

Nataka kununua Gari UK

Delegate

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2012
Posts
331
Reaction score
201
Wakuu
kwa walio Uk Please help,,,tunahitaji used Mercedes Benz S500L 2010 model please talk to me
 
Tafuta mtu aliyepo UK akununulie auto trader. ....kwa aliyepo UK ni rahisi sana maana wengi wanaoweka magari autotrader ni watu binafsi na baadhi ya traders company huwa hawafanyi shipment. .....ningekusaidia ila nipo busy kidogo, mtafute chriss lukosi yeye kwa kuwa ana shipping agency itakuwa rahisi kumalizana nae kila kitu
 
Wakuu
kwa walio Uk Please help,,,tunahitaji used Mercedes Benz S500L 2010 model please talk to me

Gari Kama hiyo itakugharimu hela nyingi ,ili kuondoa mgongano na mtu .kwa nini usije mwenyewe uk .unahitaji msaada?
 
Mkuu tuwacliana .ni pm nikupe namba za cardeal wa Uk .yupo uk ananunua magari na kuuza Dar .ananunua scania ,Toyota rav 4 na mengine .
 
Weka number za huyo car dealer nasi tuzione unaficha nini
 
Back
Top Bottom