Tafuta mtu aliyepo UK akununulie auto trader. ....kwa aliyepo UK ni rahisi sana maana wengi wanaoweka magari autotrader ni watu binafsi na baadhi ya traders company huwa hawafanyi shipment. .....ningekusaidia ila nipo busy kidogo, mtafute chriss lukosi yeye kwa kuwa ana shipping agency itakuwa rahisi kumalizana nae kila kitu