Nataka ninunue kwa mtu,Unanunua wapi, Kwa mtu hapa hapa Tanzania, showroom au unaagiza Japan?
Budget yako maximum ngapi?
unakaa mkoa gani na matumizi yako ni yepi sana sana na kwa siku utakua unatumia kama Kilometa ngapi hivi?
Umeshawahi kua na gari? Au ndio la kwanza?
Nataka ninunue kwa mtu,
Matumizi yangu si zaidi ya 30km per day
Niko MWANZA MJINI